Tag

Review Post namba za kiarabu

Wacha waisome namba weeeee... CCM mbele kwa mbele. 🀣🀣🍾🍾πŸ₯‚πŸ₯‚ Good night y’all. πŸ’ƒπŸΏπŸ’ƒπŸΏ https://t.co/yc4c1hv2o3

Mkutano wa 10 wa kongamano la kimataifa la miji, #WUF10 WUF10 limefikia tamati jana Falme za Kiarabu kwa wito wa hatua za pamoja kuhakikisha utekelezaji wa lengo la @SDGoals namba 11 la 'miji' la linalolenga kufikia miji jumuishi, salama, inayostahimili na endelevu. #SmartCity https://t.co/g5lJtkAKeN

Al Ahly akija Tanzania ni rahisi kufungika https://t.co/qYYuDQGFpV

Kiswahili lugha rasmi ya SADC. https://t.co/loYJZSxtZJ

Sisi team Sevilla kwa kushikiriana na Mwalimu wa kiarabu @Arafat__AH na mwalimu wa kilingala @Abdurabi1992 tunawaleteeni somo la namba za kihispania 1=Uno, 2=dos, 3=tres, 4=Quatro, 5=Cinco, 6=Seis, 7=Siete, 8=Ocho, 9=Nueve, 10=Diez

Hesabu za #tanzania hazitumi computer,calculator or human brains. Hazitumi namba za kiarabu or kirumi zenyewe ni formula amabazo zizo dunia hii

CAZORLA ATAVAA JEZI NAMBA 18 AKIWA AL SAAD INAYOFUNDISHWA NA XAVI HERNANDEZ HUKO FALME ZA KIARABU. @ Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania https://t.co/nTdGysI2tR

Sina shaka maendeleo nayaona na hakika namba za KIARABU na KIRUMI zinasomeka sasa.

Aliyekuwa hafai TRA Sasa ameteuliwa kuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali! Yajayo yanafurahisha!! Raia wanauliza sasa Mahesabu yake akiwa TRA ana uhalali wa kuyakagua? Je,matumiz ya ofisin akiwa RAS Njombe atakuwa na uhalali wa kuyakagua? Hakuna rangi hatutaona at this Regime

@wedyaron @MarekaMalili Sasa sisi viranja viherehere tukishika hatamu ndiposa mtaanza rasmi kusoma namba za kiarabu. Hii cha mtoto

Beranda